Saturday, November 20, 2010

DIAMOND ANAOMBA KURA YAKO!


Mimi ni msanii wa kizazi Kipya, najulikana kama Diamond, ni miongoni mwa wa wasanii mahiri walichaguliwa kuwania tuzo za MTVBASE MAMA AFRICA 2010zitakazo fanyika mjini Lagos Nigeria tarehe 11.12.10. Hivyo Basi nawaombeni watanzania wenzangu na wadau wote wa muziki mnipigie kura ili nishinde tuzo hii muhimu ili iweze kuja Tanzania na ituletee SIFA na HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA. Tafadhali nawaombeni sana mnipigie kura kwa njia ya simu kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma text kwenda namba 6262, kwa walio nje yaTanzani tuma text 15726 au tembelea tovuti hii http://www.mtvbase.com/splash/mama/ bonyeza mtv mama halafu ingia ndani ya nominees naomba unipigie kura as the best New Act.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu,
Asanteni wote,
Diamond Platinumz
akishirikiana na
URBAN PULSE CREATIVE

No comments: