Saturday, September 24, 2011

Vodacom Foundation yasaidia walemavu

Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga (wa pili kilia) akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon wakati wa kukabidhi mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M kwa ajili ya watu wenye ulemavu Nchini. Wa pili (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani kwa watu wenye ulemavu Jutoram Kabatele na Mwakilishi wa Compass Communications Mario Mpingirwa. (Mpiga picha wetu)

No comments: