Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda
akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza
kushoto, kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini Tanzania,wakati
mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa Jukwaa la
wahariri jijini Dares Salaam jana,katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na
Uhusiano Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza
akiongea na wajumbe wa Jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari wakati
mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha ,kushoto Mwenyekiti wa
Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda,na katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko
na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri Masoud Sanani
Baadhi yawajumbe wa jukwaa la wahariri wa habari
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo
pichani alipokuwa akiongea nao wakati wa kujitambulisha kwa jukwaa hilo.
No comments:
Post a Comment