Sunday, November 27, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA IKULU J JIONI YA LEO


Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiingia Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni
Mhe. Rais Kiketwe akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mboe mara baada ya kuingia Ikulu
Mhe. William Lukuvi akisalimiana na Mhe. Tundu Lissu
Mhe. Mbowe akiongea na Mhe. Rais
...safu ya viongozi wa Chadema ikiongea na Rais
Mhe. Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chadema mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mapema leo.


Tupe mpya yako ya leo.....

No comments: