FAMILIA
YA MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA MKOANI MBEYA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO
CHA MPENDWA WAO ANNEL MWAKIPUNDA
MWAISUMO KILICHOTOKEA TAREHE 26/11/2011
DAR ES SALAAM. MAZIKO
YATAFANYIKA MOROGORO TAREHE 28/11/2011.
HABARI ZIWAFIKIE FAMILIA YA
MWAKIPUNDA,FAMILIA YA MWAISUMO,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO.
BWANA ALITOA NA
BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE NA MILELE
AMEN
No comments:
Post a Comment