Wakati wa kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza wakishirikiana na Chuo kikuu cha mji Coventry wanapenda kuwatangazia wadau wote wa elimu kuwepo kwa Scholarship sita maalum kwa watanzania ambazo zimetolewa kutoka katika Chuo kikuu cha Coventry katika nyanja zifuatazo:
1. MSc Oil & Gas Management Coventry Campus Kuanzia Septemba 2012
2. MBA Oil & Gas Management London Campus Kuanzia April, July, Septemba 2012
3. MSc Finance & Investment IAA Dar Campus Kuanzia Septemba 2012
4. MBA Logistics IAA Dar Campus Kuanzia Septemba
5. MSc Finance & Investment IAA Arusha Campus Kuanzia Septemba 2012
6. MBA Logistics IAA Arusha Campus Kuanzia Septemba 2012
Jinsi ya kujiandikisha, tembelea tovuti chini ifuatayo:
http://www.coventry.ac.uk/tanzania2012scholarship
kwa maelezo zaidi wasiliana na ubalozi wetu hapa London 00 44 20 7569 1470
Tafadhalini watanzania wote chukueni hii nafasi mapema iwezekanavyo kwa wale wote mnaopenda kujiendeleza kimasomo.
Asanteni Sana,
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment