Thursday, March 15, 2012

ZITTO akutana na Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda, Lusaka, Zambia

Nimekutana na Mzee Kaunda leo ofisini kwake Lusaka,Zambia

Kicheko baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika.

No comments: