Hayati
Steve Kanumba ni miongoni mwa wasanii maarufu wa Tanzania wenye nyota
za umaarufu (Tanzania Walk of Fame) ndani ya ukumbi wa Dar Live jijini
Dar Es salaam ambapo mara baada ya kifo chake wafanyakazi wa ukumbi huo
na mashabiki wake wameweka mashada ya maua,kadi na kuwasha mishumaa kama
ishara ya kuomboleza kifo chake.
...baadhi ya staff wa Dar Live wakiwasha mshumaa kwenye nyota ya Kanumba
...Nyota ya Kanumba ilivyo ndani ya Dar Live katika sehemu ya Tanzania Walk of Fame.
No comments:
Post a Comment