Thursday, April 12, 2012

Kumbukumbu za Steve Kanumba UK

Director Renny akicheka na Steve wakati wa mazoezi
Kanumba akiwa kazini
Might B na kanumba wakijaanda kufanya shooting
Steve akijiandaa kurekodi album yake katika studio za zamani za Urban Pulse 
 Steve akiwa na Aunty Tunu, Asha Baraka na Frank alipotembelea UK
 Steve akijiandaa kuingia kwenye Limo
salam,
Urban Pulse inawaletea Picha za Marehemu steve wakati alipokuja kutengeneza filamu nchini Uingereza miaka michache iliyopita.R.I.P
Urban Pulse Creative

No comments: