Tuesday, April 24, 2012

TUSAIDIE YATIMA



 
Bi Christina Kiboma (pichani, katikati mwenye nywele ndefu),mjasiriamali wa jijini Dar es salaam huutumia msemo wa 'kutoa ni moyo na wala siyo utajiri' kwa kuwasaidia yatima kwa kidogo anachopata kwa kukaa na kula nao chakula cha mchana katika vituo mbalimbali vya Dar. Jumapili iliyopita, Aprili 22, 2012 Christina alikula na Yatima wa pale Kinondoni Muslim anapoishi pamoja na watoto yatima wa kituo cha TAYOA kilichopo Magomeni Mwembechai karibu na Grand Hotel na pia walemavu wa macho (vipofu) alijumuika nao.
...hapa akiwa na baadhi ya wazazi na walezi wa vituo vya watoto hao
...akiwa na watoto yatima wanaosoma sekondari
..akiwa na baadhi ya wazazi, walezi na yatima
..akitoa shukrani zake za dhati
...harambee ya kusaidia matatizo ya dharura.

PICHA: Na Mpiga Picha wetu

No comments: