Tuesday, May 22, 2012

DOX COSMETICS & BOUTIQUE MAHALI SAHIHI PAKUJIPATIA BIDHAA ZA KISASA






Jipatie Bidhaa bora za Urembo na Mavazi, Perfume, Deodorants, Hand Bags, Jewell's, Viatu, Body Lotions, Weaving's Original, Vifaa vyote vya nywele na ngozi kama Facial Products na vitu vyote vya Kisasa na vya Designers wenye majina makubwa duniani kwa wanaume na wanawake. Duka la DOX COSMETICS & BOUTIQUE linapatikana mtaa wa Jamuhuri karibu na Round about ya Azam maeneo ya Posta mpya jijini Dar es Salaam. Unaweza kuwasiliana nao kwa simu namba +255754204222 na +255787915151 au Barua Pepe d_membe@hotmail.com.




No comments: