| Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (kulia) akimpongeza Monica Joseph mmoja wa wateja wao waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D uliodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Century Cinemax, Mlimani City, Dar es Salaam jana. Monica alishinda simu ya mkononi. |
| Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D |
| DJ Fetty wa Clouds Radio naye akipokea zawadi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola |
| Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kulia) akitoa zawadi kwa Monica Joseph mmoja wa wateja wao |
| Mbunifu wa Kimataifa, Flaviana Matata (kushoto) akipozi kwa picha na Hilda Nakajumo, Meneja Huduma wa Airtel Tanzania |
| Ofisa Mauzo wa Airtel, Babra Ernest (wa pili kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 in 3D |
| Sehemu ya watu waliohudhuria uzinduzi wa filamu ya ‘Men in Black 3 |
No comments:
Post a Comment