Saturday, May 5, 2012

Show Kubwa ya Kili Music Award Winners 2012 kuanza jioni hii Kirumba Mwanza

 Wadau wakubwa wa Kilimanajro Bia wakijadiliana namna ya mambo yatakavyoenda Uwanja wa Kirumba leo.
 mashabiki na wapenzi wa Muziki wameshaanza kgia uwanjani na kila mtu ana kinywaji chake mkononi na ndio kiingilio chake.
 Mashabiki wakingoja burudani Kirumba hii leo
 Jamani leo ni vitu laini tu hapa Kirumba Mwanza na mambo ndio kama hivyo no chupa ni vijikopo tu
Jamaa ananiambia hapa haingii mtu bila kuponi ya Bia au Malta

No comments: