Saturday, May 19, 2012

Vodacom Tanzania Yatoa pole kwa Club ya Simba

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akimkabidhi rambirambi ya kiasi cha shilingi 1M/-mjumbe wa kamati ya utendaji na Makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha wa klabu ya Simba Bw.Saidi Pamba,anaeshuhudia katikati ni Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Msemaji wa Klabu ya Simba Ezekiel Kamwaga(kushoto)akisalimiana na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa wakati walipofika katika viwanja vya TCC kuuaga mwili wa aliekuwa mchezaji wa klabu hiyo marehemu Patrick Mafisango na kutoa mkono wa pole wa kiasi cha shilingili 1M/-kulia ni Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
...akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Mafisango

No comments: