Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman
nchini Tanzania, Mhe. Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam leo.
Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment