Wednesday, May 8, 2013

Hofu Ya Ugaidi (1)

Na Maggid Mjengwa,
MOJA ya sababu kadhaa za vita vya Iraq ilikuwa ni kupambana na ugaidi.

Juzi hapa nchi yetu imekumbwa na shambulizi la pili la kigaidi. Naam, ugaidi ungalipo na unabaki kuwa ni tishio kubwa duniani.

Hakika, hapa duniani matukio ya kigaidi yameongezeka. Ajabu ya matukio ya ugaidi, kihistoria, mengi ya matukio makubwa ya ugaidi humu duniani yamefanyika katika mwezi
Septemba. Ni ukweli wa kihistoria, kuwa mwezi Septemba ni mwezi wenye
kuambatana sana na matukio ya kigaidi.

Mfululizo wa makala hizi zitazungumzia juu ya suala hili la ugaidi na hofu yenye kuambatana nayo. Mahusiano ya mwezi Septemba na ugaidi yataonekana pia.

Kwa faida ya wasomaji, nitaanza kwa kuangalia chimbuko la ugaidi kihistoria
na kutoa mifano mbalimbali.

Ni rahisi kusema kwamba ulimwengu umebadilika baada ya ugaidi wa Septemba 11
mwaka 2001 kule Marekani. Kwamba ugaidi....Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/2550-hofu-ya-ugaidi-1.html#.UYpu5sq86Ag

No comments: