Wataalamu wa mambo ya afya wanasema kucheka ni afya! sijui kama kweli au lah?
Nchini india kuna vilabu vya
kufanya mazoezi ya kucheka,pia katika nchi nyingi kuna wasanii
wachekeshaji (Comedy)wanaofanya vituko kuwawezesha wanadamu wengine
wacheke,inamaana kucheka ni tiba ya kuondoa fikira mbaya katika nafsi
au? na wasanii wetu wa vichekesho nao ni madaktari.
Lakini tunajiuliza hivi kila
anaeonyesha meno anacheka au? kama kamanda Ras Makunja wetu (pichani)
juzi juzi alikua studio kupika nyimbo akafumwa akicheka sana sana kiasi
ya watu waliokuapo pale walikua wakijiuliza hivi kicheko cha kamanda
meno nje! ni kicheko kweli au ? tukae mkao wa kula kusikia ujio wa vitu
vipya kwa siku za usoni.
lakini acha tuendelee kupata raha za wikiendi at ffu camp www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment