Saturday, May 4, 2013

WAMILIKI WA BLOG MBALIMBALI WAKUTANA NA TIGO

 
Brand Manager wa Tigo, William Mpinga (kushoto) akimpa zawadi ya modem Blogger baada ya kujishindia Bahati Nasibu ya papo kwa papo katika hafla fupi ya kukutana na bloggers iliyofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam jana.
 
Mzee wa Matukio, Richard mwaikenda (mwenye kamera) akimueleza jambo mshereheshaji wa shughuli hiyo, Danny Kijo (kushoto)Asante zee la nyeti kwa kujishindia na wewe ka modem....Mpinga (kulia) akimkabidhi zawadi
 
asante zee la neyti...Mpinga (kulia) akimkabidhi Henry Mdimu zawadi yake ya modem
 
Bloggers: Kutoka shoto Michuzi Jnr wa Jiachie Blog, John Kitime wa Kitime Blog, Kiff Niga wa King Kiff Blog, Sufiani wa Mafoto Blog, Saleh Ali wa Jembe Blog, Othmani Michuzi wa mtaa kwa mtaa blog na Francis Dande wa Issu Michuzi blog 
Eric Mutta, mtaalam wa IT akinadi sera zake 
Mpiga Drum wa The Tanzanite Band akifanya vitu vyake
Waimbaji wa The Tanzanite band John Muhina na Bi. Flora wakitumbuiza bloggers
wadau kutoka Tigo
Bloggers katika picha za pamoja za hapa na pale
Bloggers na wadau wengine wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wadau wa blogs
Mwakilishi wa Tigo akiwashukuru bloggers kwa kuhudhuria hafla hiyo
Salehe 'Jembe' (kulia) akijadiliana jambo na Othman 'mzee wa kitaa'
Mshauri wa masuala ya habari wa Tigo, Danny Kijo, akiwakaribisha wadau
....wakati wa kuhakiki mshindi.


No comments: