Simulizi Za Mzee Madiba; Mandela Bondia Alipokutana Na Bondia...!
Ndugu zangu,
Kuna simulizi nyingi za Mzee wetu Madiba. Hakika, Nelson Mandela hajawahi kuwa mpenda makuu.
Mzee Mandela yuko simple sana, ni tangu enzi za ujana wake. Lakini, kuna ambao hawajui kuwa Mandela anapenda sana mchezo wa ngumi, na kuwa , yeye mwenyewe aliwahi kuwa bondia.
Kuna wakati akiwa Ikulu kama Rais, Mandela alipata habari za bondia wa Afrika Kusini aliyetwaa taji la kimataifa. Mandela alifurahishwa sana na habari hizo. Akataka ampongeze mwenyewe bondia huyo.
Siku moja akiwa na wasaidizi wachache sana, Mandela alikwenda hadi nyumbani kwa bondia huyo. Alihakikisha kuwa...Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3599-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-bondia-alipokutana-na-bondia.html#.Uc59dpyNCAg
No comments:
Post a Comment