Saturday, June 29, 2013

USIKU WA TUDD THOMAS KUFANYIKA JUNI 30 DAR LIVE

USIKU WA PRODYUZA TUDD THOMAS KUSINDIKIZWA NA WASANII KIBAO WAKIWEMO, DIAMOND, NAY WA MITEGO, IZZO B, LINAH, MWASITI, RECHO, BABA LEVO, QUICK RACKA, RICH MAVOKO, BARNABA, OPG, SCORPION GIRLS, MAKOMANDOO NA WENGINEO. NI NDANI YA DAR LIVE JUMAPILI HII YA JUNI 30, 2013. USIKOSE!

No comments: