WADAU WA MTANDAO WETU WA
FULLSHANGWE TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KUANZIA LEO
KUTOKANA NA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE
YA UWEZO WETU HATA HIVYO WATAAAMU WETU WANAFANYA KILA LIWEZEKANALO ILI
TUWEZE KUREJEA WAKATI WOWOTE
TUNATUMIA NAFASI HII PIA KUWAOMBA RADHI WADHAMINI WETU NMB,
NBC SBL, NHIF NA WILNA INTERNATIONAL TUNAOMBA MTUVUMILIE WAKATI
TUNASHUGHULIKIA TATIZO HILO.
No comments:
Post a Comment