Thursday, June 13, 2013

TANAPA YAKABIDHI TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKO

2Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Musa Juma kutoka gazeti la Mwananchi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja na laki tano aliyoshinda baada ya kuandika makala nzuri ya kutangaza utalii wa Tanzania katika tuzo inayoandaliwa na shirika la hifadhi za taifa TANAPA kwa waandishi wa habari wa Televisheni, Redio na Magazeti katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watuzo hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Hiltop Hotel ya mjini Iringa, hafla hiyo imefanyika baada ya mkutano wa siku mbili kati ya wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA katika ikiwa na kauli mbiu ya Jukumu la Vyombo vya habari Katika kukabiliana na Ujangili katika hifadhi za taifa uliomalizika leo , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA 3Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Albano Midelo wa Gazeti la Dira tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 4Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Alex Magwiza wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 5Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Azaria wa Sahara Media tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 7Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali alioongozana nao katika hafla hiyo kutoka kulia ni Adam Swai Katibu Tawala msaidizi mkoa wa Iringa,Theresia Mahongo Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,James Lembeli Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili na kushoto ni Mkurugenzi wa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 8Mhariri wa habari Chanel Ten Esther Zelamula akitangaza mmoja wa washindi katika hafla hiyo kulia ni Lesara Kabongo Afisa Utalii TANAPA na kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Pascal Shelutete. 9Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Eliya Mbonea wa gazeti la Rai tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 10Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi David Rwenyagila wa Radio Five tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 11Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Antonio Nugas wa Clouds Media tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 12Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Lilian Shirima wa TBC tuzo aliyojishindia baada ya kuandika makala iliyozungumzia vyema masuala ya utalii , kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Ndugu James Lembeli na katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za taifa TANAPA Ndugu Allan Kijazi. 14Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za TANAPA mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao kutokana na ushindi wao.

No comments: