Ndugu yangu mpendwa,
Ni muda mrefu sasa toka
nizisikie hizi taarifa za dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa UKIMWI kugundulika
huko nchini Malawi. Nakumbuka ilikuwa mwaka 2007 mwezi Mei.
Sikutulia nazo, nilizikalia
macho na kwa kuwa kazi yangu ni kutafiti tiba haikuwa kazi ngumu sana kupata
uhakika kuwa kweli hii dawa imeshawatibu watu wengi licha ya kutotibu wote
waliojaribiwa. Sikuona kama itakuwa vibaya iwapo nitaileta dawa hii nchini na
sisi tuwe mashahidi wa dawa hii endapo itatutibu.
Dawa inayoaminika kutibu Ukimwi
Nilichogundua toka katika
dawa hii ni kuwa mtumiaji huitumia kwa kuitia ndani ya uji kila siku asubuhi na
kuinywa kwa siku tatu mfululizo, halafu atarudia tena baada ya wiki moja. Baada
ya hapo dozi imekwisha na mgonjwa ataanza kupata nafuu kidogokidogo lakini
baada ya miezi nane hadi kumi akipimwa basi atakutwa HIVNEGATIVE au pengine atakutwa
amepata anfuu kubwa sana na atatakiwa arudie dozi. Kifupi sio dawa yenye
masharti mengi zaidi ya kutoacha dawa za hospitali na kuzingatia kanuni za afya
za kawaida. Nimekuletea pia website zilizotunza kumbukumbu za habari zilizokuwa
gumzo nchini Malawi kuhusu dawa hiyo ambazo hata mimi zilinifanya niifuatilie kwa urefu na upana unaostahili.
Hapa ni website ya Dawa
hiyo ambayo inatikisa vyombo vya habari vya Malawi kwa kutibu Ukimwi
Hapa, Gazeti la The Nation
likiwa na barua rasmi ya kumkashifu bibie Gloria Geremiah.
Ukiichunguza,utagundua kuwa si kwamba dawa haitibu, bali wanataka awatajie ni
mti gani huo ambao wote wanakiri unatibu..
Hadi dawa hii inakwenda
mitaani, siku moja ikajikuta Facebook ikijinadi kuingia katika vipimo vya
mamlaka za walaji za nchi kama TFDA na TBS pamoja na wengineo kibao! Soma hii.
Hapa tena wakatokea tena
wengine wakidai dawa hiyo haitibu!
Hapa wakaja Wazambia na
Nyasa Times wao wakidai wanazitumia sana kutibu huko kwao na kweli watu
wanapona! Soma hii usikie mambo.
Ukweli utabaki tu kuwa hapo
kuna dawa ambayo ina kiasi kikubwa cha matumaini kwa wagonjwa wetu kupona.
Simaanishi kuwa nautangazia umma kuwa dawa ya kutibu ukimwi imepatikana, la! Hasha
bali ni njia sahihi kabisa inayoweza kupelekea tiba kutangazwa kuwa imepatikana
endapo baadhi yetu tutaitumia hii dawa na kubahatika kupona na kisha kuwapa
matumaini ya kuitumia wengine wanaoteseka na maradhi haya.
Mara ya mwisho nilikuwa
nataka niinunue nije nayo lakini nilikwamishwa na kutokuwa na ushahidi wa vipimo
vinavyonionyesha mimi ni muathirika na bila ushahidi huo basi huuziwi dawa kwa
kuwa hata wao bado wapo katika tafiti zitakazoleta majibu yah ii ni dawa au sio
dawa. Mimi binafsi nawashauri wenye matatizo ya haya maradhi kuwa bora
wakanipigia tukayazungumza halafu nikawasaidia kuwaagizia hii dawa ili nao
wajaribu bahati zao. Kwa haraka tu gharama zake zinafikia shilingi za
kitanzania T.shs.682,500/= kwa dozi moja na utaipata baada ya siku 12 hadi 15
kwa hapa Dar Es salaam. Wale wa mikoani itategemea na mabasi ya mikoani
yanayoanza safari zake pale Ubungo.
Tafadhali. Fikisha ujumbe
huu kwa ndugu, jamaa na marafiki wote maana huenda katika familia yao kuna
wagonjwa pia.
John P. Haule

1 comment:
I was born HIV positive, and for many years, I thought my life would always be full of pain and fear. I tried everything, but nothing worked. One day, I saw people sharing testimonies about Dr. Dawn’s herbal medicine that cured them of HIV and other deadly diseases. At first, I didn’t believe it, but I had nothing to lose.
I contacted Dr. Dawn, and she gave me her herbal treatment. I followed her instructions and used it for over 2 months. Today, I’m crying tears of joy because my result is NEGATIVE! I am FREE from HIV! My life has completely changed.
If you are struggling with HIV/AIDS, kidney disease, heart problems, skin infections, or even want to enlarge your manhood, don’t give up hope. Dr. Dawn can help you too.
📲 Message her on WhatsApp: [ +2349046229159
Email dawnacuna314@gmail.com
Post a Comment