Saturday, August 17, 2013

UKIMWI UNAWEZA KUDHIBITIWA HATA UKIWA NAO

Ndugu yangu mpendwa,
 Ni muda mrefu sasa toka nizisikie hizi taarifa za dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa UKIMWI kugundulika huko nchini Malawi. Nakumbuka ilikuwa mwaka 2007 mwezi Mei.

Sikutulia nazo, nilizikalia macho na kwa kuwa kazi yangu ni kutafiti tiba haikuwa kazi ngumu sana kupata uhakika kuwa kweli hii dawa imeshawatibu watu wengi licha ya kutotibu wote waliojaribiwa. Sikuona kama itakuwa vibaya iwapo nitaileta dawa hii nchini na sisi tuwe mashahidi wa dawa hii endapo itatutibu.

  Dawa inayoaminika kutibu Ukimwi
Nilichogundua toka katika dawa hii ni kuwa mtumiaji huitumia kwa kuitia ndani ya uji kila siku asubuhi na kuinywa kwa siku tatu mfululizo, halafu atarudia tena baada ya wiki moja. Baada ya hapo dozi imekwisha na mgonjwa ataanza kupata nafuu kidogokidogo lakini baada ya miezi nane hadi kumi akipimwa basi atakutwa HIVNEGATIVE au pengine atakutwa amepata anfuu kubwa sana na atatakiwa arudie dozi. Kifupi sio dawa yenye masharti mengi zaidi ya kutoacha dawa za hospitali na kuzingatia kanuni za afya za kawaida. Nimekuletea pia website zilizotunza kumbukumbu za habari zilizokuwa gumzo nchini Malawi kuhusu dawa hiyo ambazo hata mimi zilinifanya niifuatilie kwa urefu na upana unaostahili.

Hapa ni website ya Dawa hiyo ambayo inatikisa vyombo vya habari vya Malawi kwa kutibu Ukimwi

Hapa, Gazeti la The Nation likiwa na barua rasmi ya kumkashifu bibie Gloria Geremiah. Ukiichunguza,utagundua kuwa si kwamba dawa haitibu, bali wanataka awatajie ni mti gani huo ambao wote wanakiri unatibu..

Hadi dawa hii inakwenda mitaani, siku moja ikajikuta Facebook ikijinadi kuingia katika vipimo vya mamlaka za walaji za nchi kama TFDA na TBS pamoja na wengineo kibao! Soma hii.

Hapa tena wakatokea tena wengine wakidai dawa hiyo haitibu!

Hapa wakaja Wazambia na Nyasa Times wao wakidai wanazitumia sana kutibu huko kwao na kweli watu wanapona! Soma hii usikie mambo.

Ukweli utabaki tu kuwa hapo kuna dawa ambayo ina kiasi kikubwa cha matumaini kwa wagonjwa wetu kupona. Simaanishi kuwa nautangazia umma kuwa dawa ya kutibu ukimwi imepatikana, la! Hasha bali ni njia sahihi kabisa inayoweza kupelekea tiba kutangazwa kuwa imepatikana endapo baadhi yetu tutaitumia hii dawa na kubahatika kupona na kisha kuwapa matumaini ya kuitumia wengine wanaoteseka na maradhi haya.

Mara ya mwisho nilikuwa nataka niinunue nije nayo lakini nilikwamishwa na kutokuwa na ushahidi wa vipimo vinavyonionyesha mimi ni muathirika na bila ushahidi huo basi huuziwi dawa kwa kuwa hata wao bado wapo katika tafiti zitakazoleta majibu yah ii ni dawa au sio dawa. Mimi binafsi nawashauri wenye matatizo ya haya maradhi kuwa bora wakanipigia tukayazungumza halafu nikawasaidia kuwaagizia hii dawa ili nao wajaribu bahati zao. Kwa haraka tu gharama zake zinafikia shilingi za kitanzania T.shs.682,500/= kwa dozi moja na utaipata baada ya siku 12 hadi 15 kwa hapa Dar Es salaam. Wale wa mikoani itategemea na mabasi ya mikoani yanayoanza safari zake pale Ubungo.

Tafadhali. Fikisha ujumbe huu kwa ndugu, jamaa na marafiki wote maana huenda katika familia yao kuna wagonjwa pia.

John P. Haule

1 comment:

Anonymous said...

I was born HIV positive, and for many years, I thought my life would always be full of pain and fear. I tried everything, but nothing worked. One day, I saw people sharing testimonies about Dr. Dawn’s herbal medicine that cured them of HIV and other deadly diseases. At first, I didn’t believe it, but I had nothing to lose.

I contacted Dr. Dawn, and she gave me her herbal treatment. I followed her instructions and used it for over 2 months. Today, I’m crying tears of joy because my result is NEGATIVE! I am FREE from HIV! My life has completely changed.

If you are struggling with HIV/AIDS, kidney disease, heart problems, skin infections, or even want to enlarge your manhood, don’t give up hope. Dr. Dawn can help you too.

📲 Message her on WhatsApp: [ +2349046229159
Email dawnacuna314@gmail.com