Thursday, September 19, 2013

DFF CHAGUO LA FILAMU LA 2013 (FILM SELECTION 2013) SIKU 2

Hizi ndizo sinema za siku ya PILI  zitakazoonyeshwa katika Tamasha la Filamu la mwaka huu (DFF 2013), katika mfululizo wa siku tatu, sinema zitaanza kuanzia saa kumi na moja mpaka saa tano usiku.
Kwa maelezo zaidi tembelea www.dff.or.tz kuazia Jumamosi.

No comments: