Thursday, September 19, 2013

NJOO UCHEZE STAILI MPYA YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII @ THAI VILLAGE

IMG_6095
Lubeya wa Skylight Band akitoa shots za bure za Tequila kwa mashabiki wa Skylight Band kwa kila anayewasili ukumbini hapo kuwapa mzuka zaidi wa kuchizika na Band hiyo.
IMG_6105
Mary Lucos akifanya yake huku akipata Sapoti ya Digna wakitoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band.
IMG_6108
Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar Juma lililopita.
IMG_6180
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza kikosi kazi cha Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_6130
Sony Masamba na Joniko Flower wa Skylight Band wakisakata sebene huku Daudi Mzee wa Tumba akifanya yake jukwaani.
IMG_6182
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na burudani Jumaa lililopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_6157
Vijana hawajitambui kabisa kwa utamu wa nyimbo za Skylight Band utawaambia nini wakuelewe....Mirror...Carolina.....Azonto....Antena....Kariakoo.....Khona na nyingine kibao utazipata hapo...
IMG_6148
Kwaito ilichezeka pia kwa wale wanaojua zile step zetu zile....
IMG_6113
Lubeya wa Skylight Band akiuza nyago na Superstar wa Bongo Movie Esha Buhet ndani ya Thai Village.
IMG_6111
Eshe Buhet na Bishosti wake wakipata Ukodak.
IMG_6133
Shabiki namba moja wa Skylight Band..mahuhdhurio yake mazuri kijana.
IMG_6171
Watoto wa ukweli kwa pande zile...hapana chezea Skylight Band weweeee.! Wengine wanasubiri.
IMG_6164
Wadau wakipozi kupata Ukodak.
IMG_6118
Auncle Danga na swahiba wake Nicco Kaombwe.
IMG_6188
Mdau akipata Ukodak kuonyesha style yake ya mavazi aliyojipigilia...
IMG_6141
Mdau Dagma askihow love na washikaji zake.
IMG_6135
Skylight Band for Life....Peace and Love....!
IMG_6193
Sam Mapozi asali ya Warembo akishow love na Superstar wa Bongo Movie Eshe Buhet na marafiki zake.
IMG_6201
Aneth Kushaba AK47 na marafiki wakishow love.
IMG_6203
William Malecela a.k.a LEMUTUZ na Mbabes Mkareeeee wa Bongo Movie Esha Buhet.
IMG_6194
Warembo na LEMUTUZ wakipata Ukodak.
IMG_6207
Sam Mapenzi wakiuza nyago na Abubakar Abdul a.k.a Bonge la Bwana.
IMG_6154
Visura wa Skylight Band wakipata Ukodak Backstage.
IMG_6198
Kutoka kushoto ni mrembo Ipty, Superstar wa Bongo Movie Esha Buhet, Shekha Fadhil na Nicco Kaombwe wakishow love na mabusu shamsham ndani ya kiota cha Thai Village juma lililopita.

No comments: