Thursday, December 4, 2014

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

1
WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
2
Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatumika Kumtengenezea Waziri Mkuu,  jana jijini Dar es Salaam.
3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti ambavyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam.
(Picha Zote: Atuza Nkurlu-Sheria Ngowi Brand).

No comments: