Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisalimiana na Kada wa CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Vijana wa Umoja wa CCM mkoa wa Tanga, wakimfanyia mapokezi maalum, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab
Luhwavi alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Tanga, akila kiapo cha utiifu wakati walipomfanyia mapokezi rasmi Katibu Mkuu wa CCM- Bara, Rajabu Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Kijana wa wa UVCCM, Mwanakombo Mwakulo akimvisha Skafu Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara, Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kulia ni kada wa CCM Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella Rajabu Luhwavi,
Kijana wa UVCCM akimpigia saluti Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajabu Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Katibu wa CCM mkoa wa alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman akimwelkeza jambo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akisalimiana na vijana waliompokea, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimsalimiana kwa furaha na Katibu wa CCM wilaya ya Muheza, Nassoro Moyo, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Wapili kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo, Shija Othman.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiingia katika ukumbi wa ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Baadhi ya watumishi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Tanga, wakiwa wamesimama kumlaki Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiwa tayari ukumbini, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiwa tayari ukumbini, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Kada wa CCM Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella.
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga, Mathew Mganga akizungumza kumkaribisha ukumbini Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi alipowasili katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa CCM kutoka wilaya zote za mkoa wa Tanga leo
Wasanii wakichangamsha ukumbi kabla ya Luhwavi kuzungumza na watumushi wa CCM katika wilaya zote za mkoa wa Tanga

Msanii, Hassani akionyesha umahiri wake wa kuimba huku akiwa amevalia kisanii mavazi ya kike, kuchangamsha ukumbi kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa wa Tanga leo.. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:
Post a Comment