Saturday, June 17, 2017

Kampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau kwenye viwanja vya JKY Park Jijini Dar Es Salaam


Meneja mauzo na masoko wa taasisi ya Shule Direct Shaweji Steven (kushoto) akimuonesha Meneja Mawasiliano ya Umma kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael
(kulia) kifaa cha kusoma vitabu kwa njia ya mtandao kwa ajili ya wanafunzi wa elimu ya sekondari wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo.

Mtaalamu wa kutengeneza roboti inayotumika kwa kuchezea watoto,Mkufu Tindi (aliyekaa) akitoa maelezo kwa Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (katikati) wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo.


Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo.
Watoto mbalimbali waliofika kwenye maadhimisho  maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema leo.
Watoto wakiwa katika picha ya pamoja katika  maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam mapema jana.

No comments: