Tuesday, December 5, 2017

Mume afumaniwa akila supu baada ya kumuacha mke patupu!

Mapenzi ya kweli yanazidi kutokomea siku hadi siku kufuatia jinsi ambavyo matukio ya usaliti yamekuwa yakiongezeka kwenye Ndoa  na Mahusiano ya kawaida. Ni tukio la kweli ambalo lilitokea hapa jijini Dar es salaam - Buguruni - Rozana,- mitaa ya Mivinjeni ambapo kijana mmoja ambaye alikuwa na Mke aliondoka asubuhi bila kuacha kodi ya meza kwa Mkewe kwa madai kuwa hana pesa hata kidogo.


Baada ya kijana hutyo kuondoka vizuri kabisa nyumbani huku akipewa moyo wa ufanisi na Mkewe, aliondoka na kuaga kuwa anaelekea kazini, hivyo hakumuachia Mke hela ya kula, hali kadhalika ndani hakukuwa na kitu chochote cha kula.

Chaajabu kijana huyo baada ya kutoka  alielekea kwenye Mgahawa ambapo walikuwa wanauza Supu, kisha akaagiza na kuanza kula bila ya kujali Mkewe amemuacha katika mazingira gani, Mungu mkubwa Mke alijiongeza akapata wazo la kwenda kukopa vitu gengeni ili Mumewake akirudi akute chakula.

Mke akiwa anaelekea gengeni muda mfupi baada ya Mume kutoka nyumbani alimfuma Mumewake akila Supu wakati nyumbani alimwambia kuwa hana hela hata shilingi mia. Kilicho jili tafadhali tazama Video hii iliyo chezwa kama Filamu fupi yenye mafunzo baada ya kushuhudia tukio live. ​ Kawaida Mapenzi ya kweli yanazidi kutokomea siku hadi siku kufuatia jinsi ambavyo matukio ya usaliti yamekuwa yakiongezeka kwenye Ndoa na Mahusiano ya kawaida. Ni tukio la kweli ambalo lilitokea hapa jijini Dar es salaam - Buguruni - Rozana,- mitaa ya Mivinjeni ambapo kijana mmoja ambaye alikuwa na Mke aliondoka asubuhi bila kuacha kodi ya meza kwa Mkewe kwa madai kuwa hana pesa hata kidogo. Baada ya kijana hutyo kuondoka vizuri kabisa nyumbani huku akipewa moyo wa ufanisi na Mkewe, aliondoka na kuaga kuwa anaelekea kazini, hivyo hakumuachia Mke hela ya kula, hali kadhalika ndani hakukuwa na kitu chochote cha kula. Chaajabu kijana huyo baada ya kutoka alielekea kwenye Mgahawa ambapo walikuwa wanauza Supu, kisha akaagiza na kuanza kula bila ya kujali Mkewe amemuacha katika mazingira gani, Mungu mkubwa Mke alijiongeza akapata wazo la kwenda kukopa vitu gengeni ili Mumewake akirudi akute chakula. Mke akiwa anaelekea gengeni muda mfupi baada ya Mume kutoka nyumbani alimfuma Mumewake akila Supu wakati nyumbani alimwambia kuwa hana hela hata shilingi mia. Kilicho jili tafadhali tazama Video hii iliyo chezwa kama Filamu fupi yenye mafunzo baada ya kushuhudia tukio live. Tusaidiane kukuza sanaa ya Tanzania yenya mafunzo kwa jamii asante

No comments: