MRISHO'S BLOG

Pages

  • Home
  • BIG D GENERAL SUPPLIER

.

.
.

Sunday, July 15, 2007

KU-FAINT KWA MISS UNIVERSE: ETI ALIOGOPA KUPIMA NGOMA!

Wakati Rais Kikweti akiwa ndani ya banda maalum akipima 'ngoma' katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam Jumamosi iliyopita, Flaviana Matata, Mrembo wa Tanzania aliyeshiriki mashindano ya Miss Universe mwaka huu na kufanya vizuri, alikuwa nje ya banda hilo pamoja na umati wa watu wengine wakisubiri kwa hamu kuona kiongozi wetu anamaliza zoezi hilo na wengine waingie kupima, lakini ghafla mrembo wetu hali ikabadilika na kuanguka chini...eti aliona zamu yake imefika akapata shock...na hivi ndivyo picha kamili ilivyokuwa..!




Pole dada Flaviana kwa maswahibu yaliyokupata.....!


Posted by Mrisho's Photography at 5:56 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

1 comment:

Anonymous said...

siku kama hii kwanini wamemvisha manguo hayo jamani du kweli ulibwende unatabu yake

July 16, 2007 at 1:54 AM

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Up

The Best online Users

Together Tunawakilisha......

Together Tunawakilisha......
Abdallah Mrisho ‘Abby’

Kuchi kuchi John Pro Remix Ug Msk J' Odie

MY PARTNERS!

  • MICHUZI BLOG
    NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MZUMBE
    8 hours ago
  • JIACHIE
    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kuongoza Washiriki 13,000 NBC Dodoma Marathon.
    8 hours ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • H@ki Ngowi
    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
    8 years ago
  • HARUSINI
    LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A
    9 years ago
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync
    10 years ago
  • MjengwaBlog
  • THE BEST

Total Pageviews

Translate

Search This Blog

HOT VIDEO

Popular Posts

  • VILLAGE PASTOR YATUA MTAANI J3
    Kanumba kiwa na aunt Ezekiel Kanumba akiwa bush na washikaji ...mmmmwaaa!!! Akiongea nami, Kanumba amesema kuwa baada ya kusubiriwa kwa hamu...
  • MIDOMO INAYODATISHA!
  • STAA WA BONGO HOLLYWOOD USA!
    Steve Kanumba Ray Kigosi Hawa ndio mastaa wa filamu wa Bongo waliojuu kwa sasa! Tumepewa taarifa, tayari staa mmoja wa filamu Bongo, Steve ...
  • PUMU HAIPATANI NA VYAKULA VYA MAFUTA
    Kama tunavyosema kila siku, hakuna kitu kibaya kama mgonjwa kutokujua aina ya vyakula anavyopaswa kula na kuviepuka. kwa sababu bila kuwa na...
  • "KIFUNGO HURU" LYRICS by C-SIR MADINI
    Track Name: KIFUNGO HURU Singer: C-SIR MADINI lyrics composed by: C-SIR MADINI, KID BWOY & JOSEFLY arranged by: C-SIR MADINI Produ...
  • UTATA: MICHAEL MUISLAMU, MKRISTO?
    Baada ya kifo chake, utata umeibuka kuhusu dini yake, wapo wanaosema Michael alikuwa Muislamu na wapo wanaopinga na kusema alikuwa Mkristo t...
  • MWONGOZO WA UKUAJI BORA WA MIJI WAZIDI KUNOLEWA
      Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano ...
  • FRIDAY NIGHT FREESTYLE SPECIAL!!!!!!!!!!!!!!
    URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle speci...
  • MEDDY MPAKA NJIA!
    Na Waandishi Wetu Uvumi kuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Mpakanjia amefariki dunia, umezua vilio kila kona ya nchi huku baadhi y...

LOOK FOR YOUR STORY HERE

Awesome Inc. theme. Theme images by tomograf. Powered by Blogger.