MRISHO'S BLOG

Pages

  • Home
  • BIG D GENERAL SUPPLIER

.

.
.

Sunday, July 15, 2007

KU-FAINT KWA MISS UNIVERSE: ETI ALIOGOPA KUPIMA NGOMA!

Wakati Rais Kikweti akiwa ndani ya banda maalum akipima 'ngoma' katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam Jumamosi iliyopita, Flaviana Matata, Mrembo wa Tanzania aliyeshiriki mashindano ya Miss Universe mwaka huu na kufanya vizuri, alikuwa nje ya banda hilo pamoja na umati wa watu wengine wakisubiri kwa hamu kuona kiongozi wetu anamaliza zoezi hilo na wengine waingie kupima, lakini ghafla mrembo wetu hali ikabadilika na kuanguka chini...eti aliona zamu yake imefika akapata shock...na hivi ndivyo picha kamili ilivyokuwa..!




Pole dada Flaviana kwa maswahibu yaliyokupata.....!


Posted by Mrisho's Photography at 5:56 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

1 comment:

Anonymous said...

siku kama hii kwanini wamemvisha manguo hayo jamani du kweli ulibwende unatabu yake

July 16, 2007 at 1:54 AM

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Up

The Best online Users

Together Tunawakilisha......

Together Tunawakilisha......
Abdallah Mrisho ‘Abby’

Kuchi kuchi John Pro Remix Ug Msk J' Odie

MY PARTNERS!

  • JIACHIE
    MAANDALIZI MKUTANO WA 153 IPU YAKAMILIKA, NCHI 159 ZATHIBITISHA USHIRIKI
    7 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    MAANDALIZI MKUTANO WA 153 IPU YAKAMILIKA, NCHI 159 ZATHIBITISHA USHIRIKI
    7 hours ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • H@ki Ngowi
    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
    8 years ago
  • HARUSINI
    LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A
    9 years ago
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync
    10 years ago
  • MjengwaBlog
  • THE BEST

Total Pageviews

Translate

Search This Blog

HOT VIDEO

Popular Posts

  • EDITOR WA RISASI AJIBU
    DEAR CHAHALI, Tumefuatilia critisism zako na maoni ya wachangajiaji waliokuwa wakifuatilia mjadala wa habari ya Risasi uliyoishutumu kuwa in...
  • ASALI: KIBOKO YA UNENE UNAOWAKERA WANAWAKE
    Wiki iliyopita nilipokea simu na ‘sms’ nyingi ambazo zijawahi kupokea tangu nianze kuandika makala mbalimbali kuhusu ulaji sahihi. Wengi nil...
  • Waraka wangu juu ya maisha ya ulaya
    kaka,heshima yako..! nimesoma makala yako kwenye blog yako jinsi mwanafalsafa alivyoelezea juu ya maisha yalivyo magumu ulaya,mi napingana n...
  • MWONGOZO WA UKUAJI BORA WA MIJI WAZIDI KUNOLEWA
      Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano ...
  • NI NANI HUYU?
    Huyu ni mwanadada maarufu Bongo na ni miongoni mwa wanawake wanaotawala sana Media. Kwa sasa yuko nchini Marekani kwa 'vekesheni' ma...
  • Mrembo auawa!
    NA DOTTO MWAIBALE Mhudumu wa Baa ya Salama Beach iliyopo Kiwalani Bombom jijini Dar es Salaam, Lightness Johnson (17), amefariki dunia baa...
  • WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA KAMPUNI YA TOTAL KWA KUZINDUA MAFUTA YA MAGARI RAFIKI KWA MAZINGIRA
     Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafuta ya Total Excellium ya pet...
  • STAA WA BONGO HOLLYWOOD USA!
    Steve Kanumba Ray Kigosi Hawa ndio mastaa wa filamu wa Bongo waliojuu kwa sasa! Tumepewa taarifa, tayari staa mmoja wa filamu Bongo, Steve ...
  • KIZUNGUZUNGU NI DALILI MBAYA
    You are what you eat! Tofauti na watu wengi wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu haki...

LOOK FOR YOUR STORY HERE

Awesome Inc. theme. Theme images by tomograf. Powered by Blogger.