


Siku chache zilizopita ilimbamba Mbunge wa Ilala, Dar es Salaam Mussa Hassan Zungu (kati, mwenye shati la njano njano) akikatiza kwa miguu maeneo ya Bungoni pembezoni mwa barabara ya Uhuru, kitu ambacho kiliwavutia wananchi kadhaa wa maeneo hayo.
Baada ya kuzunguka huku na huko, mheshimiwa huyo alisimama kunako kitu chao daladala cha Bungoni, nakuacha maswali vichwani mwa watu ambapo wengine walihisi alikuwa anasubiri usafiri wa daladala.
Baadae safu hii ilihabarishwa na mmoja wa wakazi wa maeneo hayo kuwa, Mbunge huyo alikuwa akikagua ujenzi wa barabara uliokuwa unaendelea maeneo hayo.
No comments:
Post a Comment