Sunday, September 28, 2008

KANUMBA IN UK


Steven Kanumba, msanii wa Bongo akiwa UK katika shughuli zake za kisanii kama zilivyotumwan na msomaji.

5 comments:

Anonymous said...

mwanawane si mchezo umeivaaaaaaaaaaaa-naona unakamua tu uko mara usa mara uk.safari ingine uje denmark unakaribishwa kwa raha zako mwanawane.

Anonymous said...

hiyo picha ya juu,mbona kavaa manguo mengi,sasa hivi uk hakuna baridi

Anonymous said...

kaka wewe umeshafika mbali matawi yako ya juu we are verry proud of you broh

Anonymous said...

UK NA USA KWA MFAA.... HUKU DENMARK ASIJE SIJAONA USTAA WAKE NA ACTING YAKE BADO SANA LABDA HUKOOOO BAADYE AKISHA IMPROVE VIZURI.... ALBDA ZE KOMEDY NDO WAJE WANAFANA NA DENMARK

Anonymous said...

kunumba ww mi nakuzimia sana fanya tuwe na kontack ili tuwasiliane zaid hlf unavopendeza na pamba zako usiseme dahhhhhhh umenidatisha mzeeee