Wednesday, December 24, 2008

KANUMBA AGAWA DOLA!


Mwigizaji nguli wa muvi bongo, Steven Kanumba, akimkabidhi dola 500 Ally Abdallah (picha ya juu kulia), ambaye alipokea dola hizo kwa niaba ya mshindi wa milioni 5 ambaye ni shemeji yake, Bi Nasra Sabra wa Dublin, nchini Ireland ambaye aliibuka mshindi wa blogu ya jamii ya Issa Michuzi mapema wiki hii katika mtanange wa kumtafuta msomaji wa milioni 5. Mkwanja huo ulitolewa na duka la vipodozi mbalimbali la Arise Beauty Supply lililopo Mikocheni jijini Dar. Picha ya chini inamuonesha mshindi akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa duka hilo.

2 comments:

Anonymous said...

Mrisho!
Inaonesha Kanumba ni mchizi wako...mshuri aache kujichubua, kibongobongo haijatulia

Anonymous said...

Duh mzee We na Kanumba kiboko kama Global Publishers na Irene Uwoya! tunataka mpya wapo wengi sana!!
Mdau wako Mashariki ya Mbali.