Monday, July 27, 2009

Alizaliwa Mweusi Lakini Amebadilika Rangi na Kuwa Mzungu

alivyo sasa
alivyokuwa kabla

'Tafadhali Mungu, ibadilishe ngozi yangu niwe kama mzungu' nilikuwa nikiomba dua kila siku kabla ya kulala. Kwa kawaida mtu ungeona ni ndoto lakini kwangu imekuwa kweli kwani hivi sasa nimekuwa mweupe na naonekana kama mzungu' Hayo ni maneno ya Luke Davis ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 44 ambaye alizaliwa akiwa mweusi 'tii' kutokana na baba mwafrika toka Nigeria na mama mzungu kutoka Ireland. Picha zake kibao mwisho wa habari hii.

"Nikiwa na umri wa miaka mitano nilikuwa nikisali kila siku nikimuomba mungu abadilishe rangi ya ngozi yangu niwe mzungu. Nilikuwa nikikaa kwenye ....
(zaidi soma hapa Nifahamishe.com)

No comments: