Wednesday, August 26, 2009

Chris Brown ahukumiwa!

Mkali wa miondoko ya R&B, Cris Brown wa Marekani, amehukumiwa miaka mitano kifungo cha nje katika ile kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumpiga mpenzi wake wa zamani, Rihanna. Jaji wa mahakama Kuu ya Los angeles, Patricia Schnegg, amemtaka Chriss kukaa mbali na Rihana kwa miaka mitano ijayo, umbali usiopungua mita 100, unless wawe wanahudhuria ishu ya muziki. Pia kijana huyo amehukumiwa miezi sita ya kufanyakazi za kijamii. jaji amemuonya iwapo atakiuka masharti ya hukumu hii, atatupwa 'segerea'!!

2 comments:

Anonymous said...

I don't believe the meaning of probation to be equal to kifungo cha nnje.To be in probation in swahili is uangalizi wa miaka mitano na ukifanya kosa lolote within hicho kipindi wanakurudisha kwa jaji yule yule anakuramba mvua za kutosha rupango.
- Mdau wa Virginia

Anonymous said...

duu hii kali sasa kama riri atamfuata chr...kwa huo umbali wa mita 100 nani ahukumiwe hapo..