Kwa wale ambao hawaupati mtandao wa www.globalpublisherstz.com; Wanashauriwa kubadilisha Browser na kutumia Mozilla Firefox.
Imeonekana kwa sasa website(tovuti) hiyo haifunguki kwa kutumia Browser ya Internet Explorer(IE).
Ni rahisi kubadilisha kutoka Internet Explorer kwenda Mozilla Firefox.Unachoweza kufanya ni ku-download Mozilla Firefox kwa kufungua link ifuatayo;
http://www.mozilla.com/en-US/products/download.html
Samahani kwa usumbufu wowote unaojitokeza kwa sasa.Tatizo linashughulikiwa.
GLOBAL PUBLISHERS
7 comments:
Bwana Mrisho. Internet Explorer ina matatizo mengi hata kwenye blogu mbalimbali nimejaribu hazifunguki na zingine zinafunguka nusu. Firefox inaonekana kuwa bora na "stable" zaidi.
Firefox toleo jipya (Firefox 3.6) linapatikana bure hapa:
http://www.mozilla.com/en-US/firefox/upgrade.html
nashukuru kama na wewe umeliona hilo, nafikiri wengine watajifunza na hilo....sijui kwa nini hawajaligundua wahusika wa IE!
mrisho naomba basi ukatutangazie huko kwenye blog ya jamii kwa Michu. Yaani kweli nimehangaika kweli kutafuta site yetu ya global nikawa siipati. Duh
nimesha download lakini bado sipati, vp?
Ndugu Mrisho nikiuite kiongozi kwani unastahiki mimi ni bwana nilieanza kuleta malalamiko yangu niishie nje ya nchi,sasa napata habari bila tatizo kama mwanzo asanthe majukumu mema,karibu sana houston tx,us. issaisteven@gmail.com
Mkuu, tatizo hili bado linaendelea tu? Sasa mimi naweza kuipata Global Publishers safi tu hata kwa Internet Explorer.
Halafu naona tarehe ya hii post hapo juu imetoka kivingine. Inasema kwamba post hii imewekwa April 3, 2010. Hatujafika huko ati!
Kazi njema!
Masangu, asante kwa kunistua, tatizo liliisha longi, tarehe ilikuwa imekosewa..thx alot!!
Post a Comment