Tuesday, September 15, 2009

Bibi wa Miaka 107 Anatafuta Mume wa 23

Bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia ambaye alishaolewa na kuachika mara 21 anatafuta mwanaume mwingine wa kumuoa kwa mara ya 23 kwasababu anahofia kuwa mume wake wa 22 anayeishi naye hivi sasa mwenye umri wa miaka 37 anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine mwenye umri mdogo...

zaidi nenda hapa: nifahamishe.com


No comments: