Kepteni John Komba (kulia) ambaye alikuwa swahahiba mkubwa wa Meddy, naye alifika msibani jana kuungana na wafiwa.
Medy enzi za uhai wake, hapa alikuwa akimzika mzazi mwenzie Jamila, mwaka jana
Wasanii wa filamu Bongo, JB (shoto) na Richie (kulia) wakiongea na Mzee Chifupa msibani sinza jana
Mfanyabiashara Mohamed Mpakanjia 'meddy' aliyefariki jana anatarajiwa kuzikwa leo, huku msiba wake wa ghafla ukiwa bado umewashitua watu wengi na kuacha majonzi makubwa kwa familia yake. Mungu ailaze roho yake peponi - Amin!
No comments:
Post a Comment