Tuesday, September 15, 2009

MPAKANJIA APUMZIKA KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE!

Hapa ndipo mwili wa mpendwa wetu Meddy ulipopumzishwa, ni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Maziko yamefanyika baada ya swala ya adhuhuri leo na kuhudhuriwa na watu wengi, hasa wasanii wa fani mbalimbali. ...jeneza likiingia eneo la maziko
..watu wakisaidiana kubeba jeneza
Kanumba (left), ali choki na Ray, nao walikuwa miongoni mwa waombolezaji
..Mzee Chifupa, baba mkwe wa marehemu, yeye alikuwa busy na kurekodi tukio kwenye video

...Mh. Idd Azzan Mbunge wa jimbo la Kinondoni, (kushoto) na mtoto wa wa Rais JK, Ridhwani (kati) nao walihudhuria maziko hayo
Wanamuziki wa Dansi, Muumini (kushoto), Hussein Jumbe (anayeangalia camera) na Rogart Hega wakionge mawili matatu baada ya maziko

No comments: