Tuesday, September 8, 2009

KANUMBA ATOKA BBA



Steven Kanumba, pamoja na mastaa wengine wametoka katika jumba la BBA jana na kuwaacha washiriki halisi cnhini Afrika Kusini. Kanumba, ambaye aliiwakilisha Tanzania katika jumba hilo kama nyota kutoka Bongo, jana wakati anaondoka alimtabiria ushindi mshiriki wa Zimbabwe - Itai na kudai kuwa jamaa yuko 'natural', siyo 'fake'!

No comments: