Wednesday, September 9, 2009

Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China


Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa na mimba ya kichanga kingine.

Baada ya mtoto huyo kufanyiwa ultrasound, madaktari waligundua kuwa mtoto huyo wa kike alikuwa amebeba kitoto kichanga kwenye tumbo lake ambacho kilikuwa kikiendelea kukua.

HABARI ZAIDI NENDA HAPA:nifahamishe.com

No comments: