Ndugu mwandishi, hii picha imenikumbusha mbali sana. Nimetokwa na machozi kwakeli baada ya kukumbuka mkasa uliompata huyo kijana mmoja wapo wa kushoto mwa hii picha (mwenye mkono uliokatika nusu). Huyo kijana amini usiamini alikuwa ni goli kipa mzuri sana katika timu yetu ya mtaani. Huyo kijana wakati huo tulikuwa tunakaa nae jirani mitaa ya wazo hill (sehemu maarufu kama bondeni). Shukuru alikuwa anajishughurisha na kazi za kujikimu pale Cotex (kile kiwanda cha kutengeneza ma-tank ya maji) pale karibu na afrikana. Dah, siku hiyo nasikia aliingia shift ya usiku na katika mchakato wa kazi basi mkono ulinasa katika mashine (jinsi nilivyosikia). dah tangu hapo basi ndiyo maisha yakabadirika. Kweli duniani hujafa hujaumbika!
Regards,
Mwema Felix
Mwema Felix
No comments:
Post a Comment