
From left: Mtangazaji wa Radio Magic Fm,Sebo, Mtangazaji Clouds Fm Ruben Ndege na Muli Baby, wakipata msosi katika mnuso ulioandaliwa na Zizzou Entertainment katika Hoteli ya The Atriums iliyopo Sinza Africa Sana, wikiend iliyopita.

Tippo (kushoto) mmiliki wa Zizzous akikamata msosi na wadau wake

Mzee wa Break Point, David, akijisevia msosi

Msanii wa Hip Hop Albert Mangwea (kulia) akiwa na wenzake wa lebo ya Zizzou

Tippo akiwa na vijana wake wanaohudumia maduka ya Zizzou Fashions Stores, Zizzou Barbershop

Hamad Michuzi (kushoto) wa Jiachie Blog

From left: Mchezaji mpira Hassan mgosi, mkewe, Tippo, mke wa Kaseja na Juma Kaseja mwenyewe

From left: Msanii wa bongo flava Baby Boy, Producer wa muziki Man Water, Tippo, Mtangazaji Clouds FM Anold Kayanda, Officer Uhusiano wa Zizzou Entertainment Nico na mtagngazaji wa Clouds FM Ruben Ndege 'ncha kali'.

..From left: Mtangazaji wa ITV/Radio One Godwin Gondwe, Tippo na Hasheem Thabeet
No comments:
Post a Comment