Sunday, October 7, 2012

RICK ROSS: BHAAASS!

 
Rick Ross akipagawisha vilivyo katika Serengeti Fiesta 2012.
 
Rick Ross akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club muda huu.
 
Nyomi ikiinua mikono juu kuonyesha kukunwa vvilivyo na shoo ya Rick Ross.
...Siwasikii: Ross akionyesha ishara kuwa hawasikii mashabiki.
 
Mabaunsa wakijaribu kuwazuia mashabiki waliopagawishwa na shoo ya 'The Boss'.
 
Rick Ross wakati akipanda stejini.
 
Gari alilokuja nalo Rick Ross.
Rick Ross akizidi kulishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2012.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, William Leonard Roberts II 'Rick Ross' usiku huu amehitimisha burudani za Serengeti Fiesta kwa mwaka huu baada ya kupiga shoo bab kubwa ndani ya Viwanja vya Leaders Club. Msanii huyo amewapagawisha mashabiki ambapo wengine wameshindwa kujizuia na kujikuta wakitaka kuvunja uzio ili angalau waamsogelee karibu kitendo kilichowapa kazi ya ziada mabaunsa waliokuwa katika viwanja hivyo.

No comments: