Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka
...wakichukua matukio muhimu ya shoo hiyo kwa simu za mkononiNi hatariBella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo
...shoo si ikanoga sasaBella akitamba jukwaani
Mashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika Band
Bella na jukwaa, Bella na mashabiki
Kama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaaniMashabiki wakifuatilia shoo hiyoShabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella
Dada huyu akikata mauno wakati wa shoo hiyo Shabiki na Bella jukwaani Bella akiendelea kuwasha moto Shabiki akimzawadia Bella
Zawadi zikimiminika Shoo ikibamba
Shangwe za mwaka mpya Mashabiki wakipanda jukwaani Shoo ikinogaBella akicheza na mashabiki wake
Shoo ikinoga Bella na mashabiki jukwaaniMashabiki wakizidi kupagwa.
PICHA NA MUSA MATEJA/GPL
No comments:
Post a Comment