Na:Binagi Media Group
Mamiz Grand Resort na pacha wake Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani Jijini Mwanza inawakaribisha Watu wote kusherehekea Sikukuu ya Mwaka 2016 katika viunga vyake bora kabisa huku wakifurahia huduma bora na za kuvutia zinazotolewa na
wahudumu wake.
Kutakuwa na michezo mbalimbali kwa ajili ya watoto, Live Band, chakula safi na bomba pamoja na vinywaji vya kila aina. Fika leo Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way Ujionee utofauti.
No comments:
Post a Comment