Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, SACP Justus Mamugisha, akitoa taarifa kwa wanahabari.
Watu
wawili wameuawa Jijini Mwanza kwa kupigwa risasi
na Majambazi, huku Wengine saba wakijeruhiwa katika tukio la uvamizi wa duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali za kifedha.
Habari Zaidi BONYEZA HAPA.
na Majambazi, huku Wengine saba wakijeruhiwa katika tukio la uvamizi wa duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali za kifedha.
Habari Zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment