Saturday, June 25, 2016

LUHWAVIATEMBELEA UHURU FM

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiongozwa na Mkurugezi wa Mawasiliano Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo na Mkuu wa Chumba cha Habari Uhuru FM, Pius Ntiga, kwenda katika Ofisi za Uhuru Fm, mtaa wa Ukami, katika Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kuzungumza na watumishi wa Radio hiyo ili kujua kwa undani masuala mbalimbali wanayokabiliana nayo katika utendaji wao wa kazi za kila siku, jana.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akifurahia jambo na Mkurugezi wa Mawasiliano Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo wakati wakienda katika
Ofisi za Uhuru Fm, mtaa wa Ukami, katika Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kuzungumza na watumishi wa Radio hiyo ili kujua kwa undani masuala mbalimbali wanayokabiliana nayo katika utendaji wao wa kazi za kila siku, jana.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wagen baada ya kufika katika Ofisi za Uhuru FM
 Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpatia maelezo kuhusu utendaji wa Uhuru FM
 Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angel Akilimali akikabidhi taarifa ya Uhuru FM kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi baada ya kumsomea
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimshukuru Mkurugenzo wa Uhuru FM, Ange Akilimali wakati akipokea taarifa hiyo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akipatiwa maelezo katika chumba cha kufuatilia na kuratibu habari cha Uhuru FM 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
  Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
  Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasili katika ukumbi kuzungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM
 Katibu wa CCM, Tawi la Uhuru FM Amina, akimkaribisha Luhwavi katika ofisi za Uhuru FM
 Meza kuu wakiwa wameketi tayari kwa mzungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini
 Para akiwa kazini
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini


 Mwenyekiti wa CCM tawi la Uhuru FM, Pius Ntiga akizungumza
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini
 Mkurugnezi Mtendaji wa Uhuru FM Angel Akilimali  akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi kuzungumza na wafanyakazi
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM
 aibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM. Chini ni Wafanakazi mbalimbali wakitoa hoja zao



 Luhwavi na Akilimali wakiwasikiliza wafanyakazi wakitoa yao ya moyoni 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara Rajab Luhwavi akijibu hoja na maoni mbalimbali baada ya kutolewa na wafanyakazi wakati wa kikao hicho. PICHA ZOT NA BASHIR NKOROMO

No comments: